... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kama Unayo Mashaka

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favourites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Maombolezo 3:22-24 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; uaminifu wako ni mkuu. BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Listen to the radio broadcast of

Kama Unayo Mashaka


Download audio file

Sijui kama uko tayari leo kupitia nami kwenye njia ya kumbukumbu ya maisha – yale makona yasiyotazamiwa, sehemu ndefu za ukame na matembezi kwenye bustani inayopendeza, siku za baridi zenye mvua pamoja na siku zingine za hali nzuri ya jua kuwaka, mabonde yenye giza na vilele vya milima yenye utukufu.

Maisha, hadi leo, yamekuwa safari ya ajabu, si kweli?  Kama wewe mwenyewe mwanzoni ungeanza kuandika habari ya maisha yako yatakavyokuwa, sidhani kwamba ungeweza kufikiria hata nusu ya mambo yaliyotokea maishani mwako hadi leo.

Labda umeishi maisha yako yote bila kujua uwepo wa Mungu.  Labda wewe umeamini mapema mno.  Au, labda ulikutana na Mungu njiani katikati ya safari.

Hailishi umepitia wapi au umefikia wapi,

Maombolezo 3:22-24  Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, kwa kuwa rehema zake hazikomi.  Ni mpya kila siku asubuhi; uaminifu wako ni mkuu.  BWANA ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, kwa hiyo nitamtumaini yeye.

Vipindi vile vyote, vikiwa vizuri au vibaya, hata kama tulielewa au la, Bwana Mungu wetu alikuwa pamoja nasi.  Alitufikisha ng’ambo hata kama ilikuwa majira ya baridi na mvua, hata kama tulikatishwa tamaa na giza nene.  Alifurahi pamoja nasi vipindi vizuri hata kama hatukuelewa.  Aliumia sana wakati sisi tulilia machozi.

Uaminifu wake ni mkuu.

Kwa hiyo, ukitazamia yaliyo mbeleni, ujue haya:  Bwana ndiye fungu lako, kwa hiyo unaweza kumtumaini yeye.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy